Showing posts with label PRIMARY EDUCATION. Show all posts
Showing posts with label PRIMARY EDUCATION. Show all posts
Mambo 11 aliyoyapinga Baba wa taifa hayati Mwl. Jk. Nyerere.

Mambo 11 aliyoyapinga Baba wa taifa hayati Mwl. Jk. Nyerere.

Mwalimu Nyerere ni Rais wa kwanza na ni muasisi aliyeliletea taifa hili uhuru wa kweli toka katika makucha ya mkoloni 9 December, 1961.
 Naibu Waziri ataka walimu wasinyimwe fursa za kielimu

Naibu Waziri ataka walimu wasinyimwe fursa za kielimu

Kondoa. Naibu Waziri wa elimu,Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella  Manyanya amewataka wakuu wa idara za elimu kutoa nafasi kwa walimu pindi
Top 10 of Very intelligent people on Earth For 2017 According to the Guiness World record

Top 10 of Very intelligent people on Earth For 2017 According to the Guiness World record

maxresdefault-1-1
The IQ test is the only way to measure mental abilities trusted person where most humans usually have IQ ranging from 90 to 110 but very few people have the IQ level of from 140 onwards.
Jifunze Kilimo Bora cha Vitunguu

Jifunze Kilimo Bora cha Vitunguu

Vitunguu ni zao la pili ambalo hutumika karibu kila siku katika mlo wa familia za kitanzania. Afrika Mashariki, na Dunia Nzima.
Jinsi Ya Kugundua Na Kuthibiti Vidonda Vya Tumbo( Peptic Ulcer)

Jinsi Ya Kugundua Na Kuthibiti Vidonda Vya Tumbo( Peptic Ulcer)


Kupata ufahamu mpana juu ya vidonda vya tumbo ni vema kuelewa kwanza mfumo unaohusika na tumbo ambao ni umen'genyaji wa chakula. Sehemu kuu zinazohusika katika umen'genyaji huo ni kinywa,umio ambayo ni misuli wenye urefu wa sentimeta 23
10 false facts most people think are true

10 false facts most people think are true

False facts

Kids, it's okay to go out in the cold with wet hair, after all.

Up until the late 16th century, everyone "knew" that the sun and planets revolved around the Earth.
Sababu 5 zinazoweza kuchangia hedhi yako kuchelewa kuiona

Sababu 5 zinazoweza kuchangia hedhi yako kuchelewa kuiona


Wasichana wengi huanza kutawaliwa na hofu kila wanapoona wakati wa kuonda siku zao (hedhi) umefika halafu hawaoni hali ikijitokeza. ungana na elimu yetu blogo upatekuja mengi
Njia 3 za kuagana na maumivu ya jino haraka

Njia 3 za kuagana na maumivu ya jino haraka


Kwa kawaida hushauriwa kuwaona wataalam wa meno pale unapopata maumivu makali ya meno, lakini zipo njia za asili kadhaa ambazo huweza kupunguza ukali wa maumivu ya meno.
Njia bora ya kuzuia damu kutoka kwenye fizi

Njia bora ya kuzuia damu kutoka kwenye fizi


 Inawezekana ukawa ni miongoni kati ya watu ambao huwa unasumbuliwa na tatizo la fizi kutoka damu mara kwa mara na hujajua nini cha kufanya ili kumaliza tatizo hilo.
Ua la kipekee Duniani linalopatikana Tanzania

Ua la kipekee Duniani linalopatikana Tanzania


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba akiendelea na ziara yake ya mazingira katika mikoa mbalimbali alitembelea msitu wa Amani uliopo katika Milima ya Usambara mkoani  Tanga na kujionea
Mambo 6 ya kufahamu kuhusu Sayari ya Venus iliyopo karibu na Dunia

Mambo 6 ya kufahamu kuhusu Sayari ya Venus iliyopo karibu na Dunia

Najua utakua umesikia mara nyingi kuhusu wanasayansi na watafiti wa masuala ya anga wakitoa taarifa mbalimbali kuhusu kilichopo kwenye Sayari nyingine ukiacha Dunia.
sifa na maajabu16 ya tembo

sifa na maajabu16 ya tembo


1.Tembo ndie mnyama mkubwa   kuliko wote duniani aridhini.
Special Needs Education According to tanzania

Special Needs Education According to tanzania




Special Needs Education is provided to children with learning  barriers in order to enable them to access education services.
TAARIFA KWA UMMA:

TAARIFA KWA UMMA:

 TAARIFA KWA UMMA: SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KUKARIRISHA DARASA, KUHAMISHA AU KUFUKUZA WANAFUNZI KWA KIGEZO CHA KUTOFIKIA WASTANI WA UFAULU ULIOWEKWA NA SHULE

TANZANIA PROFILE

TANZANIA PROFILE




Tanganyika became a Sovereign State on 9th December 1961 and a Republic in 1962. Zanzibar became independent on 19th December 1963 as
HISTORY OF TANZANIA

HISTORY OF TANZANIA




The History of Tanzania started with the European Colonialists.  The 8th century saw the growth of city states along the coast after settlement by Arabs as a nation from Oman.
Environmental Pollution: Causes, Effects and Solution

Environmental Pollution: Causes, Effects and Solution

Image result for Environmental Pollution: Causes, Effects and Solution

Environmental pollution refers to the introduction of harmful pollutants into the environment. It has a hazardous effect on the natural world and on the activities of living beings.
The major types of environmental pollution are air pollution, water pollution, noise pollution, thermal
UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI

UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI

SEHEMU YA KWANZA
UTANGULIZI
 Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu.
 How to stay possitiver

How to stay possitiver

How to Stay Positive
“Having a positive mental attitude is asking how something can be done rather than saying it can’t be done.”
Mbinu za kukufanya kuwa jasiri

Mbinu za kukufanya kuwa jasiri

Mbinu  na rahisi za kupata ujasiri ujasiri kimafanikio.
1. Kutoshindana na waliofanikiwa.
Daima mtu ahakikishe anawafanya waliofanikiwa wajione wapo juu. Kama mtu anataka kuwashangaza basi asionyeshe ujuzi wake wote.
Kuwapa waliofanikiwa heshima yao kutamfanya mtu apate msaada na hatimaye afikie kiwango cha juu bila ya kupata tabu nyingi.
Mfano, mtu asishindane na mwajiri wake ili kuonekana anajua sana; asishindane na tajiri katika matumizi hususani mazingira ya kijamii kama baa, misiba n.k. Waliofanikiwa hutafsiri kitendo cha kushindana kama kuonyesha kiburi au maskini jeuri.
2. Kutoamini sana marafiki.
Mtu awe makini 'anapojamiiana' na marafiki au watu wa karibu. Watu wa karibu huwa wasaliti na huvujisha siri kwa wapinzani. Mtu aogope marafiki zaidi ya maadui, ikibidi awape nafasi wale anaohisi ni wapinzani. Ilkiwa mtu hana wapinzani, ajitahidi kuwatafuta. Mtu ajifunze jinsi ya kutumia wapinzani kimafanikio, si kuwaamini marafiki muda wote.
3. Kuficha malengo.
Mtu afiche matarajio yake au dhamira za matendo yake. Kuweka malengo hadharani huwafanya watu wenye nia mbaya kujipanga na kuvuruga malengo husika. Mtu akinge malengo yake na ikiwa yatagundulika iwe nyakati za mwisho; nyakati ambazo wapinzani hawawezi kuweka vikwazo.
4. Kutumia wasidizi.
Kufankiwa kwa mtu kunategemea mchango anaoupata kutoka kwa wale wanaomzunguka (mazingira na marafiki). Mtu atumie busara, ujuzi na maarifa ya wale anaofanya nao kazi ili kusonga mbele. Msaada haupunguzi tu nguvu, bali pia huongeza ufanisi na kuimarisha urafiki. Mtu hupata fadhila kutoka kwa wasaidizi wake, ndipo jamii husika. Hivyo, mtu awaachie watu wengine yale wanayoweza kufanya kwa ufanisi.
5. Kushinda kupitia matendo.
Ushindi mtu anaopata kupitia maneno haufai kitu! Mtu asishindane juu ya uwezo wake kwa maneno bali, aache matendo yaongee. Ushindi makini ni ule mtu anaoupata kupitia matendo yake, na si kwa wingi wa maneno. Uhalisia wa matendo huonyesha umakini wa mtu kwa jamii inayomzunguika. Mtu husifiwa kwa kadiri ya juhudi zake za hali na mali kutatua changamoto zinazomsonga, si kwa kupiga domo.
6. Kujenga utegemezi.
Ili mtu kujua umuhimu wake katika jamii anapswa kjua kwa kiasi gani mchango wake unahitajika. Mtu ajenge mazingira ya kutegemewa; kutegemewa kuleta furaha au ustawi katika mazingira yanayomzunguka.
Ili kfanya hivyo, mtu asitoe mbinu zote alizo nazo juu ya kitu fulani. Kutegemewa humwezesha mtu 'kuuza' kile alichonacho kwa mafanikio yake na ya jamii yake. Hivyo, mtu ajue wakatigani wa kuficha huduma yake, wakati gani wa ktoa kidogo na wakati gani wa kutaka watu wailipie.
7. kutenda kama mpelelezi.
Ni muhimu sana mtu kujua juu ya wapinzani wake. Mtu atumie marafiki (wapambe) ili kupata taarifa muhimu juu ya udhaifu na uwezo wa wapinzani wake. Kufanya hivyo kutamwezesha mtu kupanga mipango ya kiulinzi na ambayo haitazimika katika safari yake ya mafanikio. Kupata taarifa kunafanikishwa kwa kuuliza maswali rahisi, kuuliza kwa njia ya upole na kwa kutumia mifano. Kila wakati ni fasaha kwa upelelezi.
8. Kuwafahamu watu wa karibu.
katika mazingira yoyote yale kuna watu wa aina nyingi. Watu hutofautiana kiimani, kitabia, kimalengo, kiutendaji n.k. Watu wa karibu ndio wanaotoa au kufanikisha kotoa ushindani katika mazingira yasiyotegemewa. Watu wengi, tena wa karibu ni kama mbwa mwitu. Ili kufahamu watu wa karibu, mtu atafakari kwa kina misingi mikuu ya urafiki huku akibadilisha muonekano, kutoa changamoto kwa walengwa n.k. Pindi mtu anapofanya yote hayo atazame mwitikio ya walengwa.
9. Kuwa na dira.
Dira humwezesha mtu kufika kule anakotaka. Mtu anapaswa kuweka malengo juu ya kule anakotaka kufika baada ya muda fulani pia, changamoto azazohisi zitamkumba sambamba na suluhu sahihi. Kwa kuwa na malengo haitakuwa ngumu sana kukabiliana na vikwazo mtu awapo safarini. Watu wengi huweka malengo huku wakisahau au kupuuzia adha zinazoweza kuwakumba au zilizowakumba watu wengine waliokuwa na malengo kama yao.
10. Kujikuza.
Mtu asipokee na kukubali sifa 'chafu' anazopewa na jamii. Mtu anapaswa kujikuza kwa kuvaa utambulisho mpya; ambao unavuta umakini na hauiudhi jamii yake. Mtu anapaswa kutawala taswira yale, si taswira yake ktawaliwa na nguvu kutoka nje. Kujikiza kwa jitihada za mtu huleta taswira ya kudumu, na ambayo italeta uaminifu wa kweli na kukubalika katika jamii.
11. kuwa na shabaha.
Mtu anapaswa kuelekeza nguvu na jitihada kwa yale anayoamini yataleta matunda mazuri. Mtu awe makini kutunza au kutenga nguvu za ziada kwa ajili ya changamoto. Ili kutokata tamaa, mtu anapswa kuwa na wadu (watu wa karibu) wenye uwazo tofauti tafauti kama vile madaktari, wafanya biashara, waalimu, viongozi wa dini, wazee wenye busara n.k
12. Kujirudisha nyuma.
Kama mtu akiona changamoto zitamzidi siku a usoni, huku mbinu alizo nazo au mikakati yake itakuwa dhaifu ahairishe 'pambano'. Kurudi nyuma kutampa mtu nafasi ya kujipanga kwa kukusanya nguvu na 'kuusoma mchezo zaidi'. Mtu asikubali kuangushwa kabisa na changamoto ndipo ajiandae kuinuka. Ni vigumu sana mtu kuamka baada ya kushambuliwa na kuangamizwa na chahangamoto za kimaisha.
13. Kutojitenga.
Kujitenga na jamii au marafiki ni hatari sana! Kwani ulimwengu ni tambara bovu na uumejaa wapinzani kila kona. Inapasa mtu kujiundia ngome ya ulinzi lakini, si kwa kujitenga. Kujitenga hupunguza mawasiliano na watu na pia uwezekano wa kupata misaada ya hali na mali. Kwa mfano, kuna uwezekano mkubwa wa kukosa habari, ushauri, vitendea kazi n.k. Vitu ambavyo ni muhimu kufikia mafanikio.
jisajili hapa sasa ili kuweza kupata habari kemkem
Elimu Yetu Blog