1.Tembo ndie mnyama mkubwa kuliko wote duniani aridhini.
Hata hivyo, pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa, miguu yake kwa chini ni kama ina sponge, na pia hapendi kelele.
2.Tembo ana ukubwa wa tani 7 na hula mizizi, majani, matunda na . Tembo pia hunusa harufu ya maji umbali wa meli 3.
3.Umri wake wa kuishi ni miaka 60 hadi 70.
4.Mkonga wa Tembo hutumika kwa shughuli nyingi, ikiwemo kuvutia pumzi na kunusia (pua), kulia, kuchotea maji ya kunywa, kukata matawi ya miti, kupigania, kuchimbia, kupapasana, na hata kujirushia maji na mavumbi kwa ajili ya kuhifadhi ngozi yake na maradhi na wadudu (mkono).
5.Pembe yake moja inaweza kukaribia kilo 100 na urefu wa zaidi ya nchi 130. Pia jino lake moja linakaribia uzito wa kilo 20.
6.Tembo anatumia masaa 16 kwa siku kwa kula tu, na kinyesi chake kwa siku kinafika kilo 150.
7.Tembo huwa hasahau, chochote/yeyote alichowahi/aliyewahi kukiona/kumuona maishani mwake basi huwa anakikumbuka/anamkumbuka mara tu akikiona/akimuona
8.Tembo huwa wanalia, kuhuzunika, hufurahi na kucheka pia. Vile vile wana huruma kiasi kwamba mtoto anapolia basi wote hukusanyana na kumbembeleza. Pia wanaomboleza pale mmoja wao anapofariki.
9.Tembo ana uwezo wakuogelea masafa marefu.
10.Tembo jike hubeba mimba miaka 2.
11.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 hadi 120
12.Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
13.Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi unaweza kuhisi kama vile ana miguu mitatukwa nyuma.
14.Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12, masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
15.Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
16.Tembo dume "akifunga goli / akipiga bao" manii yake yanafika ujazo wa lita tano