Kwa sababu huku mtaani kuna watu ni ama la saba au hata la saba hawakumaliza lakini ndio wanaoongoza kumiliki pesa za kutisha. Ukipata nafasi ya kusoma; soma kwa bidii, lakini ni vema ukatambua kuwa [fedha za maana] ni nadra sana kukaa kwenye vyeti. Vyeti vikijitahidi sana vitaishia kukupa pesa ya kubadilishia mboga. Akili inayokupa vyeti madarasani ni tofauti kabisa na akili inayotumika mtaani katika utafutaji wa pesa! #SmartMind for advice call +2557441463