About Us

Elimu yetu blog ni blog iliyoanziswa na Bakalemwa Milembe, ambayo imelenga kutoa elimu kwa jamii hususani kwa wanafunzi wa primary,secondary, elimu ya ufundi{VET} na chuo kikuu kupitia mtandaoni.
Tumelenga kupanua ufanisi katika  sekta ya elimu kwa kutoa habari,machapisho,semina na ushauri maususi wa kielimu.